Posted on 11 February 2011 by admin
Na Thandi Winston
DAKAR, Feb 11 (TerraViva) – Mmoja wa mabinti wanaoongoza Afrika na mwanaharakati wa haki za wanawake, mwanazuoni wa Nigeria Amina Mama anasema wanamgambo wanaopigana wanaenea hasa katika nchi za Sierra Leone na Liberia. Anasema vita na migogoro inaathiri wanawake ambao ni rahisi kuathirika pamoja na watoto wao. Continue Reading
Posted on 11 February 2011 by admin
Na Koffigan E. Adigbli
DAKAR, Feb 11 (TerraViva) – Dhana ya uliberali iliyoanzishwa katika nchi maskini zaidi haina nafasi katika jamii za kisasa, anasema rais wa zamani wa Brazili, Luiz Inácio Lula da Silva. Continue Reading
Posted on 10 February 2011 by admin
Na Thandi Winston na Ebrima Sillah
DAKAR, Feb 10 (TerraViva) – Siku ya kwanza ya mikutano na mijadala katika Kongamano la Jamii la Dunia imeandamwa na vurugu za kutafuta kumbi za mikutano. Continue Reading
Posted on 10 February 2011 by admin
Andrea Lunt anamhoji Mwanaharakati wa Kenya ONYANGO OLOO
NEW YORK, Feb 10 (IPS/TerraViva) – Nyuma ya vichwa vya habari vya makongamano ya kijamii na maandamano ya kutumia nguvu, kupambana na ukandamizaji na kubadili dunia kunahitaji hatua endelevu zinazojikita katika jamii ya chini, kulingana na mwanaharakati wa haki ya kijamii wa Kenya. Continue Reading
Posted on 10 February 2011 by admin
Mario Osava

Credit: Ansel Herz/IPS
RIO DE JANEIRO, Feb 10 (IPS) – Uliberali wa kisasa na utandawazi wa kifedha ni maadui maarufu ambao waliunganisha na kukusanya wanaharakati ambao walianzisha, miaka kumi iliyopita mjini Porto Alegre kusini mwa Brazili, Kongamano la Kijamii la Dunia (WSF) kama nafasi ya kukutana, kutathmini na kujadili, chini ya kaulimbiu “Ulimwengu Mwingine Unawezekana”. Continue Reading
Posted on 07 February 2011 by admin
Na Thandi Winston na Souleymane Faye*

Kutoka kwa: Abdullah Vawda/IPS
DAKAR, Feb 6 (IPS) – Makumi kwa maelfu ya watu waliandamana katika mitaa ya mji mkuu wa Senegal wa Dakar siku ya Jumapili kuashiria mwanzo wa Kongamano la Kijamii la Dunia linalofanyika kila mwaka. Wanaharakati walibeba mabango ya rangi mbalimbali yanayokemea upokonyaji wa ardhi, sheria kali za uhamiaji, ruzuku katika kilimo barani Ulaya na Marekani na masuala mengine mengi. Continue Reading
Posted on 06 February 2011 by editor

Paulino Menezes/IPS TerraVivaSherehe za Ufunguzi wa Kongamano la Kijamii la Dunia Mjini Nairobi. Kutoka kwa: Paulino Menezes/IPS TerraViva
Na Mary Itumbi
NAIROBI, Feb 3 (IPS) – “Miongoni mwa mambo ambayo tutayapeleka Dakar, anasema Onyango Oloo, “ni [ujuzi wa] kukosa uwezo wa kuandaa Kongamano la Jamii la Dunia.†Oloo alikuwa mratibu wa Kongamano la Jamii Duniani (WSF) lilipofanyika jijini Nairobi mwezi Januari 2007, na kuwa wa kwanza kugundua mikanganyiko iliyoizunguka kongamano la kwanza la WSF kufanyika barani Afrika. Continue Reading
Posted on 06 February 2011 by editor
Na Julio Godoy
BERLIN, Feb 3, 2011 (IPS) – Kongamano la Uchumi la Dunia limekuwa uwanja wa watunza fedha katika mabenki mwaka huu kutafuta mbinu za kuendeleza utamaduni wake wa mamlaka. Na kwa mara nyingine, ulikuwa ulingo – tofauti na vile vile kupinga Kongamano la Kijamii la Dunia ambalo linatarajiwa kuanza wiki ijayo katika mji Mkuu wa Senegal, Dakar – ambako madhara makubwa ya utandawazi na yanayotokana na mazingira kutokana na ongezeko lisilozuilika liliachwa kando. Continue Reading