Posted on 07 February 2011 by admin
Na Thandi Winston na Souleymane Faye*

Kutoka kwa: Abdullah Vawda/IPS
DAKAR, Feb 6 (IPS) – Makumi kwa maelfu ya watu waliandamana katika mitaa ya mji mkuu wa Senegal wa Dakar siku ya Jumapili kuashiria mwanzo wa Kongamano la Kijamii la Dunia linalofanyika kila mwaka. Wanaharakati walibeba mabango ya rangi mbalimbali yanayokemea upokonyaji wa ardhi, sheria kali za uhamiaji, ruzuku katika kilimo barani Ulaya na Marekani na masuala mengine mengi. Continue Reading
Posted on 07 February 2011 by admin
By Thandi Winston and Souleymane Faye*
DAKAR, Feb 6 (IPS/TerraViva) – Tens of thousands of people marched through the streets of Dakar on Sunday to mark the start of the annual World Social Forum. Activists carried colorful banners denouncing land grabs, restrictive immigration laws, agricultural subsidies in Europe and the U.S. and many other issues. Continue Reading